Kutoka 33:3 BHN

3 Nendeni katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali. Lakini kwa sababu nyinyi ni wenye vichwa vigumu sitakwenda pamoja nanyi, nisije nikawaangamiza njiani.”

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:3 katika mazingira