Kutoka 33:7 BHN

7 Mose alikuwa na desturi ya kulichukua lile hema na kulisimika nje ya kambi. Hema hilo alilipa jina, Hema la Mkutano. Mtu yeyote aliyetaka shauri kwa Mwenyezi-Mungu alikwenda kwenye hema la mkutano nje ya kambi.

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:7 katika mazingira