Kutoka 34:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, nami nitayaandika maneno yale yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza ulivyovivunja.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:1 katika mazingira