Kutoka 34:15 BHN

15 Msifanye mikataba yoyote na wakazi wa nchi hiyo, maana watakapoiabudu miungu yao ya uongo na kuitambikia, watawaalikeni, nanyi mtashawishiwa kula vyakula wanavyoitambikia miungu yao,

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:15 katika mazingira