Kutoka 34:24 BHN

24 Nitayafukuza mataifa mengine mbele yenu na kuipanua mipaka yenu. Hakuna mtu yeyote atakayeitamani nchi yenu wakati mnapokusanyika kuniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu mara tatu kila mwaka.

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:24 katika mazingira