Kutoka 34:9 BHN

9 Kisha akasema, “Ee Bwana wangu, kwa vile umenijalia fadhili mbele zako, nakuomba uende pamoja nasi. Watu hawa ni wenye vichwa vigumu, lakini utusamehe uovu wetu na dhambi yetu, utupokee kama watu wako mwenyewe.”

Kusoma sura kamili Kutoka 34

Mtazamo Kutoka 34:9 katika mazingira