Kutoka 35:30 BHN

30 Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:30 katika mazingira