Kutoka 35:5 BHN

5 Mtatoa katika mali zenu mchango wa kumpa Mwenyezi-Mungu. Kila mtu mwenye moyo mwema atamletea Mwenyezi-Mungu mchango: Dhahabu, fedha, shaba;

Kusoma sura kamili Kutoka 35

Mtazamo Kutoka 35:5 katika mazingira