Kutoka 36:11 BHN

11 Alitengeneza vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi vingine katika pazia la mwisho la kipande cha pili.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:11 katika mazingira