Kutoka 36:13 BHN

13 Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:13 katika mazingira