Kutoka 36:18 BHN

18 Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:18 katika mazingira