24 na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Kusoma sura kamili Kutoka 36
Mtazamo Kutoka 36:24 katika mazingira