Kutoka 36:34 BHN

34 Mbao zote alizipaka dhahabu, akazitengeneza na pete za dhahabu za kushikilia pau hizo ambazo pia alizipaka dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:34 katika mazingira