Kutoka 36:36 BHN

36 Alitengeneza nguzo nne za mjohoro, akazipaka dhahabu na kuzitilia kulabu za dhahabu. Vilevile alizifanyia vikalio vinne vya fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:36 katika mazingira