Kutoka 37:1 BHN

1 Bezaleli alitengeneza sanduku kwa mbao za mjohoro; urefu wake ulikuwa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo chake sentimita 66.

Kusoma sura kamili Kutoka 37

Mtazamo Kutoka 37:1 katika mazingira