Kutoka 37:17 BHN

17 Alitengeneza pia kinara cha taa kwa dhahabu safi. Tako lake, na ufito wa hicho kinara ulikuwa kitu kimoja pamoja na vikombe vyake, matumba yake na maua yake.

Kusoma sura kamili Kutoka 37

Mtazamo Kutoka 37:17 katika mazingira