Kutoka 37:9 BHN

9 Viumbe hivyo vilikuwa vimeelekeana, mabawa yao yamekunjuliwa kukifunika kifuniko cha sanduku; nyuso zao zilikielekea kifuniko cha sanduku.

Kusoma sura kamili Kutoka 37

Mtazamo Kutoka 37:9 katika mazingira