Kutoka 38:21 BHN

21 Ifuatayo ni orodha ya vifaa vilivyotumika katika kulijenga hema takatifu, yaani hema la agano. Orodha hii ilitayarishwa na Walawi kwa amri ya Mose, chini ya uongozi wa Ithamari, mwana wa kuhani Aroni.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:21 katika mazingira