Kutoka 38:23 BHN

23 Alisaidiwa na Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, fundi stadi wa kutia nakshi, kusanii michoro na kutarizi kwa nyuzi za sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:23 katika mazingira