Kutoka 38:26 BHN

26 Kila mtu aliyehesabiwa tangu umri wa miaka ishirini na moja na zaidi alitoa mchango wake wa fedha gramu 5; na wanaume wote waliohesabiwa walikuwa 603,550.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:26 katika mazingira