28 Zile kilo 17 na gramu 75 zilizosalia, zilitumika kutengenezea kulabu za nguzo na kuvipaka vichwa vya nguzo na kuitengenezea vitanzi.
Kusoma sura kamili Kutoka 38
Mtazamo Kutoka 38:28 katika mazingira