Kutoka 39:14 BHN

14 Basi, palikuwa na mawe kumi na mawili yaliyochorwa majina kumi na mawili ya wana wa Israeli. Yalikuwa yamechorwa kama wachoravyo mhuri, kila moja limechorwa jina kuwakilisha makabila kumi na mawili.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:14 katika mazingira