Kutoka 39:20 BHN

20 Walitengeneza pete nyingine mbili za dhahabu na kuzitia mbele katika ncha za chini za vipande vya kizibao, mahali kinapoungana na ule mkanda uliofumwa kwa ustadi.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:20 katika mazingira