Kutoka 4:1 BHN

1 Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”

Kusoma sura kamili Kutoka 4

Mtazamo Kutoka 4:1 katika mazingira