Kutoka 4:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia.

Kusoma sura kamili Kutoka 4

Mtazamo Kutoka 4:3 katika mazingira