Kutoka 4:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Hivyo Waisraeli watapata kuamini kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba zao, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, nimekutokea.”

Kusoma sura kamili Kutoka 4

Mtazamo Kutoka 4:5 katika mazingira