Kutoka 40:10 BHN

10 Halafu, utaiweka wakfu madhabahu ya kuteketezea sadaka na vyombo vyake vyote kwa kuipaka mafuta, nayo itakuwa takatifu kabisa.

Kusoma sura kamili Kutoka 40

Mtazamo Kutoka 40:10 katika mazingira