21 Kisha akaliweka lile sanduku la maamuzi ndani ya hema na kutundika pazia, na kwa namna hiyo akalisitiri sanduku la maamuzi, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kutoka 40
Mtazamo Kutoka 40:21 katika mazingira