Kutoka 40:29 BHN

29 akaweka hapo langoni mwa hema takatifu madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, akatolea juu yake sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 40

Mtazamo Kutoka 40:29 katika mazingira