Kutoka 40:35 BHN

35 Mose alishindwa kuingia ndani ya hema la mkutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukajaa humo.

Kusoma sura kamili Kutoka 40

Mtazamo Kutoka 40:35 katika mazingira