Kutoka 40:38 BHN

38 Katika safari zao zote, Waisraeli waliweza kuliona lile wingu la Mwenyezi-Mungu juu ya hema wakati wa mchana na ule moto ukiwaka juu yake usiku.

Kusoma sura kamili Kutoka 40

Mtazamo Kutoka 40:38 katika mazingira