Kutoka 40:5 BHN

5 Madhabahu ya dhahabu ya kufukizia ubani utaiweka mbele ya sanduku la ushuhuda, kisha utatundika pazia kwenye mlango wa hema takatifu.

Kusoma sura kamili Kutoka 40

Mtazamo Kutoka 40:5 katika mazingira