Kutoka 5:21 BHN

21 Basi, wakawaambia Mose na Aroni, “Mwenyezi-Mungu na aone jambo hili na kuwahukumu nyinyi kwa sababu mmetufanya sisi kuwa chukizo kwa Farao na maofisa wake; nyinyi mmewapa sababu ya kutuua.”

Kusoma sura kamili Kutoka 5

Mtazamo Kutoka 5:21 katika mazingira