Kutoka 7:22 BHN

22 Lakini wachawi wa Misri kwa kutumia uchawi wao wakafanya vivyo hivyo. Kwa hiyo moyo wa Farao ukabaki kuwa mgumu, naye hakuwasikiliza Mose na Aroni; ikawa kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amesema.

Kusoma sura kamili Kutoka 7

Mtazamo Kutoka 7:22 katika mazingira