Kutoka 7:5 BHN

5 Wakati nitakapounyosha mkono wangu dhidi ya nchi ya Misri na kuwatoa Waisraeli miongoni mwao. Ndipo Wamisri watakapotambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 7

Mtazamo Kutoka 7:5 katika mazingira