Kutoka 8:1 BHN

1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie Mwenyezi-Mungu asema hivi: Waache watu wangu waondoke ili wanitumikie.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:1 katika mazingira