Kutoka 8:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba: Vyura wakafa majumbani, viwanjani na kwenye kumbi za nyumba na katika mashamba.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:13 katika mazingira