28 Basi, Farao akasema, “Nitawaacha mwende zenu kumtambikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, jangwani. Walakini msiende mbali mno. Niombeeni na mimi.”
Kusoma sura kamili Kutoka 8
Mtazamo Kutoka 8:28 katika mazingira