Kutoka 8:3 BHN

3 Mto Nili utafurika vyura, nao wataingia mpaka ndani ya nyumba yako, chumba chako cha kulala, kitandani mwako, na katika nyumba za watumishi wako na watu wako. Vyura hao wataingia katika majiko yenu na vyombo vyenu vya kukandia unga.

Kusoma sura kamili Kutoka 8

Mtazamo Kutoka 8:3 katika mazingira