6 Basi, Aroni akanyosha fimbo yake juu ya maji yote, vyura wakatokea na kuifunika nchi nzima ya Misri.
Kusoma sura kamili Kutoka 8
Mtazamo Kutoka 8:6 katika mazingira