Kutoka 9:1 BHN

1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, nasema, ‘Waache watu wangu waondoke ili wakanitumikie.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:1 katika mazingira