Kutoka 9:11 BHN

11 Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:11 katika mazingira