Kutoka 9:22 BHN

22 Kisha, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako juu mbinguni, ili mvua ya mawe inyeshe kila mahali nchini Misri. Imnyeshee mtu, mnyama na kila mmea shambani.”

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:22 katika mazingira