26 Jambo hilo lilifanyika kote nchini Misri isipokuwa tu sehemu ya Gosheni walimokaa Waisraeli; humo haikuwako mvua ya mawe.
Kusoma sura kamili Kutoka 9
Mtazamo Kutoka 9:26 katika mazingira