Kutoka 9:3 BHN

3 nitaunyosha mkono wangu na kuleta maradhi mabaya sana juu ya mifugo yenu yote: Ng'ombe, farasi, punda, ngamia, mbuzi na kondoo.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:3 katika mazingira