Kutoka 9:6 BHN

6 Kesho yake Mwenyezi-Mungu akafanya alichosema. Mifugo yote ya Wamisri ikafa, lakini hakuna mnyama hata mmoja wa Waisraeli aliyekufa.

Kusoma sura kamili Kutoka 9

Mtazamo Kutoka 9:6 katika mazingira