9 Majivu hayo yatakuwa vumbi nyembamba itakayoenea juu ya nchi yote ya Misri. Yatasababisha majipu yatakayotumbuka na kuwa vidonda kwa watu na wanyama kila mahali nchini Misri.”
Kusoma sura kamili Kutoka 9
Mtazamo Kutoka 9:9 katika mazingira