Isa. 1:11 SUV

11 Huu wingi wa sadaka zenu mnazonitolea una faida gani? Asema BWANA. Nimejaa mafuta ya kafara za kondoo waume, na mafuta ya wanyama walionona; nami siifurahii damu ya ng’ombe wala ya wana-kondoo wala ya mbuzi waume.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:11 katika mazingira