Isa. 1:15 SUV

15 Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:15 katika mazingira