Isa. 1:23 SUV

23 Wakuu wako ni waasi, na rafiki za wevi; kila mtu hupenda rushwa, hufuata malipo; hawampatii yatima haki yake, wala maneno ya mjane hayawawasilii.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:23 katika mazingira